Mwangi Onyango
@mwangionyango · news · Aug 25, 2026 · 14:43
Wakulima wa kaskazini walipoteza msimu mzima kwa mafuriko. Fomu za fidia zilitolewa wiki iliyopita. Mwisho ni Ijumaa.
Log in to join the conversation.
No comments yet. Be the first.